Wizkid aonekana kuvutiwa na Mapenzi ya Mabinti wa Kenya

 

wizkid

Kati ya wanawake 10 ambao hit maker wa Daddy yoo  Wizkid ameshatoka nao kimapenzi wawili ni wanawake toka nchini Kenya.

Wizkid ambaye kwa muda mrefu amekuwa msiri mkubwa hasa maisha yake ndoa amefunga na kuelezea jarida moja nchini Nigeria kuhusu mahusiano yake ya awali hasa na mwanamtindo Sola Ogudugu ambaye anadaiwa kuwa na mtoto wake wa kiume aliyejifungua miaka minne iliopita.

Kulingana na tarifa ni kuwa wizkid ashawahi kuwa na mahusianona mwigizaji Tonto Dinke, Sophie Rama, mwimbaji tajika Chidma kutoka nchini Nigeria.

Pamoja na Binta Diamond Diallo, sey shay, Tania Omotayo na Justin Skye

Nchini Kenya WizKid anadaiwa kuwa na mahusiano na mwimbaji Victoria Kimani, na Sociolite Huddah Monroe.

 

Total Views: 670 ,