Wilfred Bony,Hart na Nasri waondoka Mancity

Raia wa Ivory coast Wilfred Bony amejiunga na klabu ya Stoke City kutokea klabuni Mancity ambapo alitemwa kikosini na kocha Pep Guardiola.. mwenziwe Sami Nassir ameelekea kuisakatia klabu ya Valencia nchini uhispania kwa mkopo na huenda akawa klabuni humo kwa muda mrefu..

Huku mchezaji mwenza Kipa Joe Hart akikamilisha uhamisho wake kwa mkopo klabuni Torino nchini Italia,amabapo anatarajiwa kuiwajibikia klabu hiyo kwa muda mrefu…

Aidha atakuwa mchezaji wa 35 kutokea Uingereza na Ireland kuchezea soka nchini Italia..

Total Views: 316 ,