Wesbrom kusajili wawili kutoka Spurs

Klabu cha WesBrom kinakaribia kukamilisha sajili ya wachezaji Vincent Jasen na Kevin Wimmer kwa kima cha euro milioni 30 wote wawili.

Jansen amekuwa na wakati mgumu kupatya namba katika klikosi cha kwanza kama mshambulizi kutokana na fomu nzuri ya Harry Kane huku beki Kevin Wimmer akipata wakati mgumu baada ya kusajiliwa kwa Davinson Sanchez kutoka Ajax Amsterdam ya Uholanzi.

Mkufunzi wa Wesbrom Tonny Pulis anasemekana kutaka sajili ya beki Marc Wilson ili kunoa kikosi chake zaidi.

Total Views: 215 ,