Wengi wajitokeza katika siku ya mwisho ya usajili

Milolongo mirefu imeshuhudiwa katika vituo vya usajili wa wapiga kura katika maeneo mbali mbali ya kaunti ya Mombasa ambapo wengi walitaka kuhakikisha kuwa hawafungiwi nje ya shughuli hii iliyotamatika hivi leo.

Katika uchunguzi uliofanywa na Pwani fm kituo cha Huduma Centre kilichoko kati kati ya jiji la mombasa ni miongoni mwa vituo vilivyoshuhudia ongezeko la waliofika kusajiliwa kinyume cha ilivyokuwa tangu kuanza kwa shughuli hiyo tarehe kumi na tano Januari.

Mwisho

Total Views: 318 ,