Watoto wa Umri Mdogo Kwale Waanza Kushiriki Ngono Mapema

Sasa inabainika kuwa watoto wa umri mdogo katika kaunti ya Kwale wanashiriki ngono mapema hali inayosababisha V kutungana mimba .

Mkurugenzi  wa shirika la kijamii linaloshughulikia masuala ya  elimu ya mtoto wakike  kwale  la KWEA Bi.   Sabina Saiti  amesema kuwa kumekithiri  visa   wanafunzi wakike kupewa ujauzito  na wanafunzi wakiume .

 Kauli yake  Sabina imeungwa mkono na Bi.   Munira Abubakari kutoka shirika la Haki Yetu akisema kuwa eneo la Lungalunga   limenakili  mno na visa vya watoto kupachikwa mimba kutokana na eneo hilo kukumbwa na  ugumu wa maisha

Total Views: 154 ,