Wasaani wa Pwani Wenye views nyingi YouTube

SUSUMILA
SUSUMILA

 

OTILE BROWN
OTILE BROWN

Nchini Kenya wasaani wakizazi kipya wamekuwa mbioni kuachia video zenye mvuto wa aina yake, huku lengo lao kuu nikupata views nyingi kwenye channel zao za Youtube.

Kote duniani kwa sasa video yenye views nyingi ni ya Msaani Luis Fonsi FT  Daddy Yankee –Despacito yenye views Billion 5,033,264,363 baada ya kipindi cha mwaka mmoja

Nafasi ya Pili ni video ya Wiz khalifa FT Charlie Puth – SEE You again Yenye Views 3.5 baada ya kipindi cha miaka mitatu

Video ya Tatu ni yake Psy – GANGNAM STYLE yenye views billion 3.5 baada ya kipindi cha miaka mitano.

Lakini je unafahamu wasaani wa PWANI ambao video zao zimefikisha views Million 1 au zaidi  kwenye Channels za YouTube.

  1. Akothee

ndiye msaani anaye orodheshwa katika nafasi ya kwanza akiwa na Video Mbili ambazo zimepata zaidi ya views million 4

SweetLove – Akothee ft Diamond – 4.9 million in 2 years

Give it to me Akothee ft Flovour – 4.1 million in 2 years

  1. SudiBoy na Ameelina

Wanachukua nafasi ya pili na wimbo Naona Bado mabao una views million 3.1 in 3 years

  1. Keam Kym

Ni msaani wa Gopsel kutoka Mombasa katika eneola Likoni amabye umarufu wake umeonekana baadaya kufanya kacover ya wimbo Hayawani ambao original version ni ya msaani NYASHINSKI

Hayawani- Keam Kym and Melfila – 1million views in 3 months

  1. Susumila

Ni kati ya wasaani wenye mashabiki wengi hapa Pwani , wimbo wake Ngoma imezima ina views 1.1 million in 1 year

Japo kwa sasa ni wasaani wanne pekee ambao  wamepata zaidi ya views million 1 kwenye mtandao.

Video ya Kidekide – Dazlah ft Susumila  – 548k VIEWS IN 3years ni video ambayo ilikuwa na uwezo wakufikisha zaidi ya views million 1 endapo ingendeleakupata msukumo kwenye mitandao.

Msaani Otile Brown ni kati ya wasaani ambao kwa sasa nchini Kenya wanakuja kasi kwenye mtandao wa Youtube.

Ijapokuwa kwa sasa hana video yoyote iliofikisha views million 1 , tukizingatia awali alifungiwa video zake na management ya DreamLand ambapo ilimlazimu kupost video NISEME NAWE  kwa mara ya pili alipotoka dreamland

Video ya kwanza ya Ni Seme Nawe chini  ya dreamland- 363k views ya pili kwenye account yake  ikiwa na views 715k natofauti ya video hizo ikiwa ni miezi mitano

Kwa sasa Otile ana video 2 ambazo zina  uwezo wakupata zaidi ya views million 1.

Otile Brown ft Sanaipei Tande – 490k views in 1 week

Otile Brown – Mapenzi Hisia – 827k in 5months

 

Total Views: 324 ,