Wanasiasa kuchukuliwa hatua dhidi ya utoaji hongo

Wagombea wa nyadhfa za kisiasa wanaopeana vitu ili kuwashawishi wananchi kuwapigia kura wanahatarisha kufunguliwa mashtaka kwa mujibu wa tume ya maadili na makabiliano dhidi ya ufisadi EACC.

Mwenyekiti wa tume ya EACC Askofu Eliud Wabukhala amesema kuwa vitu vinavyopeanwa kwa wapiga kura siku chache kabla ya uchaguzi huhesabiwa kuwa ufisadi kwani huchukuliwa kama njia moja wapo ya kuwahonga wapiga kura.

Mwisho

Total Views: 216 ,