WANAFUNZI WATUMIAJI WAKUBWA WA MIHADARATI

Asilimia ishirini ya wanafunzi wa shule za msingi hapa nchini ni watumiaji wa mihadarati na pombe kwa mujibu wa ripoti ya hivi punde ya shirika la NACADA.

Akiongea wakati wa uzinduzi wa taarifa hiyo Mkuu wa usimamizi wa wafanyakazi wa wizara ya usalama wa taifa Kang’ethe Thuku amesema serikali imejitokeza na hatua mpya kadhaa yakiwemo marekebisho ya mtaala wa shule ili kurekebisha hali hiyo.

Kutokana na hayo shirika la NACADA na wadau wengine walianzisha utafiti ili kupata suluhu.

Picha kwa hisani.

Total Views: 20 ,