Walipeni Madaktari mshahara wao asema Raila

Kinara wa upinzani, Raila Odinga, ametoa wito kwa Bodi za kuajiri watumishi wa umma kwenye Kaunti 46 za humu nchini kuiga mfano wa kaunti ya Mombasa kwa kuwalipa Ma-Daktari mshahara wao wa miezi mitatu ambapo walikuwa mgomoni.

Raila alisema Bodi hizo zinapaswa kuwalipa Ma-daktari mishahara na marupu-rupu yao, kwani wametia sahihi makubaliano ya kurejea kazini.

Mwisho

Total Views: 338 ,