Wakala wa Yaya Toure Kumshtaki Guardiola

Wakala wa mchezaji Yaya Toure- Dimitry Seluk ametishia kumfikisha mahakamani mkufunzi wa klabu ya Man city Pep Guardiola kwa hatua yake ya kutomjumuisha kikosini mchezaji huyo hadi pale seluk atakapo omba msamaha kwa klabu hiyo.
Seluk ameitaja hatua hiyo kuwa butu na kinyume cha sheria akisema kuwa kwa mujibu wa sheria za FIFA mchezaji anaweza kuondoka katika klabu iwapo hatojumuishwa katika kikosi na kucheza asilimia 10 ya mechi au kuwa mkekani akiuguza majeraha…

Total Views: 265 ,