Wahimizwa wachukue wenyewe

 

Wakaazi wa kaunti ya Mombasa wametakiwa kuchukua vyeti vyao kutoka kituo cha huduma.

Msimamizi wa kituo hicho Alex Murithi amesema jumla ya vyeti 900 vya kuzaliwa,vitambulisho 2500 vya kitaifa na vyeti  1,800 vya maadili mema vimesalia bila kuchukuliwa katika kituo hicho.

Amesema licha ya juhudi za kuwapigia simu na hata kuwatumia jumbe wahusika,hawajachukuwa hatua yoyote kufikia sasa.

Mwisho

Total Views: 348 ,