Vifurushi vya Midoli ya Ngono Vyatumiwa Wanafunzi

Muungano wa wanafunzi wa chuo kikuu nchini Canada wamepatwa na mshangao baada ya kupokea mzigo wa kushangaza wa vifurushi vya midoli ya ngono hata taa .

Wanafunzi hao hawakuwa wanatarajia mizigo hiyo hata hivyo ilitumwa  kupitia kampuni ya Amazon kwa watu zaidi ya kumi katika jumuiya hiyo ya wanafunzi.

Duru zaarifu kuwa kuna wale waliopokea  mizigo mingi kama vifurushi 15 tangu mwezi Novemba,inayogharimu kiasi cha dola 1,000 sawa na shilingi 108,000 za Kenya. .

Wengi walidhani kuwa ni mapambo yenye gharama kubwa lakini polisi wameanza uchunguzi juu ya suala hilo

Total Views: 275 ,