VIFO VYA UZAZI VYAPUNGUA KINONDO

Idadi ya akina mama waja wazito ambao wamekuwa wakifariki wakati wa kujifungua huko Kinondo kaunti ya Kwale inasemekana kupungua mara dufu tangu kujengwa kwa zahanati na kampuni moja ya uchimbaji madini eneo hilo mwaka 2014.

Kulingana na msimamizi wa zahanati hiyo iliyoko katika eneo la Magaoni, Bakari Ali Kikoi,idadi ya vifo vya akina mama hao vimepungua kwa asilimia 90.Inasemekana kuwa zaidi ya akina mama kumi hujifungua katika zahanati hiyo kila mwezi.

Picha kwa hisani.

Total Views: 50 ,