UVAMIZI WADI YA AIRPORT

Wakaazi wa wadi ya airport hapa Mombasa walivamia kampuni moja ya ujenzi kwa madai kuwa inawaajiri raia wa kigeni badala ya wakaazi wa eneo hilo. Kwa mujibu wa Ibrahim Oyugi Omondi, muwakilishi wodi wa eneo , kampuni hiyo imekuwa ikiwaajiri raia kutoka nchi jirani kwa madai kuwa nchi hiyo inawauzia malighafi.

Picha hisani.

Total Views: 10 ,