UEFA Kuzindua dimba La Tatu

Shirikisho la soka barani ulaya UEFA limetangaza kuzindua dimba la tatu kando na uefa uropa league na uefa champions ligi dimba ambalo linatarajiwa uleta pamoja vilabu 96 kutoka mataifa wanachama.
Dimba hilo kwa mujibu wa afisa wa afisa mkuu mtendaji wa mashirikiso ya soka barani ulaya Andrea Agnelli linalenga kutoa fursa zaidi kwa vilabu kasha kuonyesha ubabe wake sawa kuongeza pato la shirikisho hilo la soka la ulaya.
Tayari uefa inangoja kupewa ruhusa na bodi simamizi ili kuanzwa kutekeleza katika msimu wa mwaka 2021/22.

Total Views: 152 ,