Tuzo za OSCARS nchini Marekani za tiwa doa.

rrrrrrrrrrrrrrrrrr

Filamu ya  LALA LAND ilitangazwa kuwa mshnid wa filmau bora mwaka wa 2017 kimakosa baada ya wasimamizi wa hafala hio kukabidhiwa bahasha tofauti  na ili ilikuwa na jina la Moonlight amabao ndio iliokuwa filamu ilioshinda tuzo za Oscar.

Wandalizi wa tamasha hilo walilazimika kuwakatisha gafla wawakilishi wa LALA land kuendelea kutoa hotuba yao ya ushindi.

Hawa ndio washindi wa Oscars…

Hii ni orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo.

Best Picture
Moonlight

Directing
Damien Chazelle, La La Land

Lead Actress
Emma Stone, La La Land

Lead Actor
Casey Affleck, Manchester by the Sea

Supporting Actress
Viola Davis, Fences

Supporting Actor
Mahershala Ali, Moonlight

Animated Feature
Zootopia

Animated Short Film
Piper

Cinematography
La La Land

Documentary Feature
O.J.: Made in America

Documentary Short
The White Helmets

Foreign Language Film
The Salesman
Live Action Short Film
Sing

Sound Editing
Arrival

Original Score
La La Land

Original Screenplay
Manchester by the Sea

Adapted Screenplay
Moonlight

Best Original Song
City of Stars – La La Land

Best Costume Design
Fantastic Beasts and Where to Find Them

Best Makeup and Hair Styling
Suicide Squad

Best Production Design
La La Land

Best Film Editing
Hacksaw Ridge

Best Visual Effects
The Jungle Book

Best Sound Mixing
Hacksaw Ridge

Total Views: 419 ,