Turkey ndilo taifa lenye wanawake wanaovutia duniani.

 

 

Utafiti uliofanywa hivi Karibuni Umeorodesha wanawake toka Taifa la Uturiki  katika nafasi ya kwanza kwa kuwa warembo na wakuvutia .

Kwenye utafiti uliofanywa na jarida moja nchini Marekani  umesema kuwa wanawake wa taifa hilo pia wana mvuto wa aiana yake na umbo zuri hasa wapotokea kwenye picha.

Vilevile utafiti huo pia umebaini kuwa  wanawake wa Taifa hilo hujipa hadhi ya juu inayolinganishwa na malkia.

 

Nafasi ya Pili Ni Brazil

Wanawake toka taifa hili wamesifika kote duniani kwa kuwa wakarimu na wacheshi , repoti zahivi karibuni zimeonyesha kuwa makapera wengi walio tembelea taifa hilo wameishia kuwa oa mabinti wa Taifa hilo kutokana na hulka zao.

 

Nafasi ya Tatu Ukraine

Ijapokuwa madili na mienendo ya watu wa Ukraine na sawa na ndugu zao toka taifa la Urusi, wanawake wa taifa hili wamesifika kutokana na Urembo wao

Nafasi ya Nne Urusi

Ijapokuwa ni  vigumu  kutafautisha kati ya wanawake toka Taifa la Ukraine na Urusi, Urusi pia inajivunia kuwa na wanawake warembo.

  1. Venezuela
  2. Italy
  3. Uholanzi
  4. Marekani
  5. Ungereza
  6. Phillipines

Total Views: 717 ,