TSC yapuuza matamshi ya Sossion

Tume ya kuajiri walimu TSC imepuzilia matamshi yaliyotolewa na katibu wa muungano wa walimu KNUT Wilson Sossion kwamba walimu hawatakubali kutia sahihi mkataba wa makubaliano kuhusu nyongeza ya mishahara ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu.

TSC inasema kuwa Sossion hapaswi kujiepusha na hali iliyopo sasa, kwa kutoa vitisho kutokana na matamshi anayotoa kwani mkataba huo wa maelewano ni mpango wa pamoja ambao muungano huo hauna mamlaka juu yake.

Mwisho

Total Views: 396 ,