Tiwa Savage Asainishwa Na Roc Nation.

Kwa mujibu wa ripoti ya Urban View ya Nigeria, Jay Z ameshawishiwa na uwezo wa Tiwa na alikubali kusainiwa kwake May 24.

Imedaiwa kuwadili hiyo  ilisimamiwa na wawakilishi wa Roc Nation, Briant Biggs na Shawn Pecas.

Hafla rasmi ya kumtangaza kama mwana familia mpya wa Roc Nation haijafanyika na bado label hiyo haijathibitisha. Kama ni kweli, Tiwa atakuwa msanii wa kwanza kutoka Nigeria kusainishwa kwenye label hiyo na kujiunga na Rihanna, Big Sean, DJ Khaled na wengine.

Balozi huyo wa Forte Oil, MTN na Pepsi kwa sasa yupo chini ya label ya Don Jazzy, Mavin Records.

Total Views: 470 ,