Tima Kisasa

Tima ni mwanahabari ambaye talanta yake ilimchochea kuacha ‘Pharmacy,’ kazi aliyesomea hadi studioni.

Wasikilizaji wake wanamtambua kwa kuwafahamisha yaliyojiri, pia ni muigazaji (actress).

Ni mama wa mvulana mmoja, anayependa rangi nyekundu anayesema humpa ujasiri wa kukabiliana na changamoto za maisha.

Amesomea pia uanahabari na hukupambia wekendi yako kwa kukuletea Rhumba/Lingala siku ya Jumamosi saa sita adhuhuri hadi kumi kamili na midundo ya kipwani ya bango siku ya Jumapili saa tatu asubuhi hadi saa saba mchana.

Total Views: 2952 ,