Tattoo ya yazua gumzo mtandaoni.

Tattoo yazua gumzo mtandaoni.

Msaani anayefanya vizuri Kelechi Africana aweka wazi Tattoo ya Mpenzi wake aliouchora kwenye mkono wake wa kushoto.

Ijumaa hii Kelechi Africana anachia wimbo video ya Wimbo Wake mpya super Woman ambao utakuwa wimbo wake wa tatu ambao amechia bila ya kuhusika katika kuitayarisha studioni kutokana na uwezo wake mkubwa kama producer.

KELECHI

Lakini wafahamu kuwa mstaa wengi nchini na hata kimataifa wamechora sura na picha za wanawake ambao wapo nao katika mahusiano.

Hapa Pwani kando na kelechi Africa Msaani Brown Mauzo pia amechora tattoo yenye sura ya mwanamke anayedaiwa kutokana nae kimapenzi.

Nchini Marekani Rapper Offset amechora picha tattoo yenye jinalake Cardi B shingoni.

Mwingine Katika Orodha yangu ni Marey Carey na Nick Canon, Canon anapicha ya jina la Kwanza la Mariah Carey likiwa limechorwa mgongoni mwake.

Walipotengana mwaka wa 2014 Nick Canon alilazimika kufunika sehemu hio kwachora Tattoo nyingine.

AMBER ROSE 1

Amber Rose pia aliwahi kuchora tattoo ya baba ya mtoto wake Wiz Khalifa katika mkono wake wa kushoto na walipotengana mwaka 2014 akaibadilisha picha hio na kuipa sura tofauti lakini ingali mkononi mwake.

Total Views: 94 ,