Tathmini ya malipo kwa timu Euro 2016

1. Tathmini ya malipo kwa timu zilizoshiriki makala ya Euro mwaka 2016 nchini Ufaransa…
2. Kima cha Euro milioni 8 (ksh896m) kwa kila timu iliyoshriki mashindano hayo, jumla ya timu zilizoshiriki 24.
3. Euro 500,000 (ksh 56 m) kwa sare yeyote katika awamu ya makundi
4. Euro milioni moja (ksh 112m) kila mara timu iliposhinda mechi kwa awamu ya makundi.
5. Awamu ya 16 bora – euro 1.5 milioni( ksh 168 milioni) kwa kila timu iliyofika awamu hii.
6. Euro milioni2.5 (ksh 280) kwa timu zote zilizotinga robo fainali.
7. Euro milioni 4 (ksh 448 m) kwa timu zote nne zilitinga awamu hii.
8. Euro milioni 5 (ksh 560m) kwa timu iliyoshindwa katika fainali za dimba hilo.
9. Euro milioni 8 (896 m) kwa mabingwa wa dimba hili na inakisiwa huenda ikafika Euro milioni 27 kwa mabingwa ureno sawia na kitita cha shilingi bilioni 3 pesa ya Kenya.
Mwisho

Total Views: 442 ,