TAHARUKI MTWAPA

Hisia mseto zimeibuka kufuatia tukio la hapo jana la uvunjaji wa nyumba eneo la Mtwapa lililopelekea watu kadhaa kupigwa risasi akiwemo kijana wa miaka kumi na mwakilishi wa wadi ya Shimo la tewa kukamatwa.

Mashirika na makundi ya kutetea haki za binadam likiwemo Haki Afrika na Kilifi MUMs yamelaani vikali hatua ya maafisa wa polisi kutumia nguvu kupita kiasi na wakakitaka kitengo cha kupokea malalamishi ya wananchi dhidi maafisa wa Polisi cha IPOA kuchukua hatua.

Picha kwa hisani.

Total Views: 10 ,