Pwani FM

Tafrija Kipwani!

Pwani FM

  • HABARI
  • Burudani
  • Watangazaji
  • Vipindi
  • Matukio
  • Podcasts

MAHAKAMANI

KAMTO
HABARI 

Washukiwa wa Maujai wa Kamto Washtakiwa kwa Kosa la Wizi

January 31, 2019 Maximillah Welukhu Kamto, MAHAKAMANI

Washukiwa watano wa mauwaji ya aliyekuwa Naibu Gavana wa kaunt ya Kilifi Kenneth Kamto,wamefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa makosa tisa

Read more
WILLY MUTUNGI
HABARI 

Mutunga katika Mahakama ya Mombasa

October 9, 2018 Joshua Chome MAHAKAMANI, Mutungi

Aliyekuwa jaji mkuu Willy Mutunga alifika mbele ya mahakama  kuu ya Mombasa kama shahidi kwenye kesi ambapo shirika moja lisilo la

Read more
omtatah
HABARI 

Omtatah aitaka mahakama kuwalazimisha makamishna wa IEBC waliojiuzulu kuondoka ofisini

April 25, 2018 Joshua Chome IEBC, MAHAKAMANI, na, Omtatah

Mwanaharakati Okiya Omtatah anataka makamishna watatu wa tume ya uchaguzi IEBC waliojiuzulu juma lililopita kufanya hivyo rasmi sawia na kupeana

Read more
mahakama
HABARI 

Rufaa:Magavana 34 kutetea nyadhfa zao mahakamani

September 13, 2017 Joshua Chome magavana, MAHAKAMANI, na, rufaa

Uchaguzi wa jumla ya magavana 34 kati ya 47 nchini, umepingwa katika mahakama kuu huku waliowasilisha rufaa hizo wakidai kuwa

Read more
Kenya_High_Court
HABARI 

Al Ghurair Kuendelea na Kandarasi ya uchapishaji wa kura ya Urais

July 20, 2017 Joshua Chome IEBC, MAHAKAMANI, ushindi, yapata

Mahakama ya rufaa imebatilisha uamuzi wa mahakama kuu wa kusitisha uchapishaji wa karatasi za kura ya urais uliopeanwa kwa kampuni

Read more
WABUKHALA
HABARI 

Wanasiasa kuchukuliwa hatua dhidi ya utoaji hongo

July 19, 2017 Joshua Chome hongo, MAHAKAMANI, na, wanasiasa

Wagombea wa nyadhfa za kisiasa wanaopeana vitu ili kuwashawishi wananchi kuwapigia kura wanahatarisha kufunguliwa mashtaka kwa mujibu wa tume ya

Read more
THE-JUDICIARY
HABARI 

Mahakamani Kilifi

July 5, 2016 Joshua Chome kilifi, MAHAKAMANI

Mahakaman moja  mjini Kilifi imeamrisha kuhamishwa kwa mtoto wa darasa la sita  anayekabiliwa na shtaka la kujaribi kuavya mimba kutoka kwa

Read more
ORENGO AND MUTHAMA
HABARI 

Viongozi wa Cord waenda katika mahakama ya juu kushinikiza Dhamana

June 15, 2016June 15, 2016 Joshua Chome CORD, MAHAKAMANI

Viongozi wa CORD wanaozuiliwa na mahakama kufuatia madai ya matashi ya uchochezi wameenda katika mahakama ya juu wakitaka kuachiliwa kwa

Read more
court image
HABARI 

CORD Mahakamani

May 24, 2016May 24, 2016 Joshua Chome CORD, MAHAKAMANI

Muungano wa CORD unatarajiwa kufika mahakamani Alhamisi wiki hii kufuatia kesi iliyowasilishwa wakishtakiwa kwa uharibifu wa mali wakati wa maandamano

Read more

Sikiliza Redio

Facebook

Facebook By Weblizar Powered By Weblizar

Tweets

Twitter Tweets
Twitter Tweets Powered By Weblizar