TAE KWONDO

Licha ya kuwa na matayarisho duni  na kukosa mechi za kirafiki timu ya taifa ya  mchezo wa Taekwondo ilijizatiti na kumaliza katika nafasi ya 11 kwenye a mashindano ya olimpiki yalokamilka nchini Morrocco.

Jumla ya mataiafa 30 yalishiriki kipute hicho ambapo misri na ivory Coast zilimaliza katika nafasi ya kwanza.

Kocha wa timu ya nyumbani Voiya Lumwach amesema timu hiyo ilifanya vizuri licha ya matayarisho duni na kucheza dhidi ya timu zilizoimarika kwa kupata ufadhili mzuri kutoka kwa serikali.

Kwenye mashindano hayo Kenya ilituma wachezaji wanne ambao ni Gladys Mwaniki,Emmanuel Nderitu,Milka Akinyi  na  Martin Odour..

Total Views: 369 ,