Son Heung-min akoleza wino Kandarasi ya miaka 5 Spurs

Winga wa klabu cha Tottenham Hotspurs Son Heung-min ametia sahihi mkataba mpya wa miaka 5 katika klabu hicho ambao utamweka hadi mwaka 2022/23.

Raia huyo wa Korea kusini mwenye umri wa miaka 26 alijunga na klabu hicho mwaka 2015 akitokea Bayern Leverkusen huku akigeuka na kuwa nguzo muhimu katika kikosi cha Mouriccio Pochettino…

Heungmin alikuwa mfungaji bora kutokea barani asia katika ligi ya uingereza baada ya kutinga bao la ushindi dhidi ya klabu cha Crystal Palace rekodi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Park Ji suing aliyekuwa akiwajibikia klabu cha Man united…

Total Views: 191 ,