Siri ya mpenzi mpya wa Drake yaanza kufahamika.

Staa wa muziki wa Marekani, Drake ameanza kuhusishwa kuwa na mahusiano na mwanamitindo, Hailey Baldwin (19).

Usiku wa Jumanne, Drake alionekana kwenye mitaa ya Los Angeles akiwa ameambatana kwa karibu na mwanamitindo huyo [Hailey Baldwin] wakiwa kwenye mgahawa wa Ysabel.

Hata hivyo hivi karibuni Drake amehusishwa kurudiana na aliyekuwa ex wake, Rihanna na mpaka kumvalisha kumvalisha pete, lakini kwa sasa maswali yashaanza kuulizana maswali.

Total Views: 518 ,