Siombi msamaha ng’o, Asema Raila Odinga

Kinara wa CORD Raila Odinga amesema kuwa hajiutii matamshi yake kuhusu utekelezaji wa tume ya haki ukweli na maridhiano TJRC aliyoyatoa wakati wa mazishi ya aliyekuwa mwanasiasa William Ole Ntimama Jumatano.

Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari Raila amesema kuwa alifanya hivyo kwa niaba ya wananchi ikitiliwa maanani ni miongoni mwa maswala ambayo mwendazaki Ole Ntimama aliyapigania hususan tatizo la ardhi linaloikumba jamii ya Maasai.

Mwisho

Total Views: 584 ,