SHIFOGA NA BARAZA PARK

Shirika la kijamii linaloshughulika na maswala ya utunzaji wa mazingira  la shifoga  kaunti ya Kwale limekanusha madai ya unyakuzi wa ardhi ya kaya katika bustani ya baraza park kama yanavyoibuliwa na wazee wa kaya.

Kulingana na afisa mtendaji katika shirika hilo Hamisi Tony Charo serikali ya kaunti kupitia wizara ya utamaduni,ukuzaji wa talanta na maendeleo ya jamii iliwapatia vijana sehemu hio kufanya biashara ili waweze kujikimu kimaisha.

Picha kwa hisani.

Total Views: 43 ,