serikali yaunda bodi mpya ya kukabiliana na ufisadi katika shule za umma

Serikali imeunda bodi mpya ya ukaguzi ili kukabiliana na ufisadi katika shule za umma nchini.

Bodi hiyo itakayotambulika kama Directorate of School Audit itakuwa na jukumu la kuchunguza matumizi ya mabilioni ya fedha zinazosambazwa kwa shule hizo.

Kulingana na katibu katika wizara ya elimu Belio Kipsang bodi hiyo DSA iatchunguza vitabu vya hesabu kubaini mianya ya matumizi ya fedha na kisha kuwasilisha ripoti kwa wizara.

Total Views: 399 ,