Serikali yasaka msaada zaidi kwa ajili ya kiangazi nchini

Serikali kwa ushirikiano na umoja wa mataifa imezindua wito wa kimataifa wa shilingi bilioni 17 kuisaidia Kenya kutoa misaada ya dharura kwa wahanga wa njaa nchini.

Mshirikishi wa umoja wa mataifa nchini  Siddharth Chatterjee alisema wito huo wa shilingi bilioni 17 utasaidia juhudi za serikali za kukabiliana na hali hiyo ambazo zinakumbwa na upungufu wa shilingi bilioni 7.2.

Mwisho

Total Views: 284 ,