Serikali Kuchukuwa Hatua DHidi ya Wahusika wa Shambulizi Jijini Nairobi

Serikali imeahidi kufanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa waliohusika kupanga shambulizi la jana katika eneo la River Side Drive Nairobi wanakamatwa.

Rais Uhuru Kenyatta amewahakikishia wakenya na raia wa kigeni usalama wa kutosha.

Ameongezea kwamba jitihada zinaendelezwa humu nchini na mataifa jirani kutibua njama zozote za kigaidi.

Total Views: 65 ,