Semi Fainali za shule za upili kutingwa Kesho

Shule ya upili ya wanawake Nginda imetinga nusu fainali ya michuano ya shule za upili baada ya kutoka sare ya kufungana mabao 2-2 na shule ya upili ya Nyakach..Ratiba kamili ni kuwa Nginda imepangiwa kuvaana na St. Johns ya Kaloleni huku Nyakach ikitifua vumbi dhidi ya Wiyeta katika michuanio ya shule za upili inayoendelea Mjini Kisumu.

Total Views: 352 ,