Selana Gomez lazwa kutokana Ugonjwa wa Akili

Selana Gomez lazwa kutokana Ugonjwa wa Akili

Msaani toka nchini Marekani Selina Gomez amelazwa hopsitalini kwa mara ya pili kwa kipindi cha wiki mbili kutoka na ungojwa wa msongo wa mawazo yani depression.

SELENA GOMEZ
SELENA GOMEZ

Msaaani huyu amabye angali anaendelea kupokea matababu baada ya kufanyiwa upasuaji na kubadilishwa figo (kidney transplat) amekuwa akisumbuliwa na ungojwa wa msongo wa mawazo hatua iliopelekea Madaktari kuidhinisha afanyiwe matibabu ya ugonjwa wa akili.

Kwa mjibu wa jarida la TMZ nchini marekani Gomez ambaye alishirikishwa katika record ya Taki taki ambayo inafanya vizuri katika mtandao wa youtube pia amesema kuwa tachukua mapumziko katika mitandao ya kijamii.

Kwa sasa Gomez ni miongoni mwa mastaa tajika wenye wafuasi wengi katika mitandao ya kijamii, kwa sasa duniani yeye ndiye aliye na wafuasi wengi katika mtandao wa instagram akiwa na wafuasi million 130 na ktika mtandao wa tweitter anawafuasi million 54.

Awali kulikuwa na madai kuwa ndoa ya Justine Beiber na hailey Baldwin ndiyo iliyomtatiza sana Gomez kiasi cha kumpa msongo wa mawazo.

 

 

Total Views: 166 ,