Sare ya Bandari haifai

Mkufunzi wa klabu ya Bandari Kennedy Odhiambo ameanzisha sajili wapya katika kikosi chake akijumuisha Omar Bora Afya na Darius Msagha katika safu ya mashambulizi huku klabu hiyo ikitoka sare ya kufungana bao 1-1 na thika united.

Bao la bandari lilitiwa kimyani na Anthony Kimani,huku la Thika united likifungwa na Joel Tata.

Kikosi kamili: Wilson Oburu (GK) (C), Anthony Kimani, Duncan Otewa, Felly Mulumba, Andrew Waiswa, Eric Kibiru, Musa Mudde, Shaban Kenga, Darius Msagha, David king’atua, Omar Bora afya

Subs: Joseph Okoth (GK), Hamisi Tole, Michael Apudo, Abdallah Hassan, Farid Mohammed, Dan Sserunkuma.

klabu hiyo kwa sasa inashikilia nafasi ya 11 ikiwa na alama 27 katika msimamo wa ligi kuu ya kitaifa.

Total Views: 345 ,