Sanchez Amwudhi Wenger apiga nje Penalti

Joto la hisia kali lazidi kushuhudiwa katika klabu ya arsenal kuhusu nani kamili ametwikwa majukumu ya kupiga penalty baada ya alexis Sanchez kukiosa penalty wikendi iliyopita wakati wakicheza dhidi ya Hull city.

Hatua ya Sanchez ilimkasirisha Wenger ambaye amenukuliwa akisema kuwa Santi Carzola pekee ndiye mwenye mamlaka ya kupiga matuta klabuni humo na hajui Sanchez kapewa majukumu nana nani.

Sanchez anakuwa mchezaji wa pili kukosa penalty ya wazi msimu huu baada ya Theo Walcott kujkosa penlati katika mechi ya ufunguzi wa msimu dhidi ya Liverpool mechio ambayo walitingwa 4-3 na Liverpool.

Total Views: 353 ,