Samboja ataka Uchunguzi kufanyika baada ya Mkaazi wa eneo hilo Kudungwa kisu

 

Viongozi wa Taita Taveta  wanataka haki kwa familia ya marehemu Alex Malumba  aliyeuawa kwa kudungwa kisu na mchunga mifugo wa asili ya kisomali juma lililopita nyumbamni kwake Kirumbi,eneo la  Voi.

Wakiongozwa na gavana Granton Samboja,viongozi hao wanataka maafisa wanaochunguza kisa hicho kuharakisha uchunguzi wao na kuajibisha waliohusika katika mauaji hayo.

Marehemu ameacha mke na Watoto wawili.

 

Total Views: 9 ,