Ruth Masita

Ni mwanahabari ambaye umbo lake halimzui kusakata ngoma.

Ruth anayeenziwa na mashabiki wake kwa kusoma vizuri habari, utampata mara nyingi akiwa amevalia nguo za rangi nyeupe na nyekundu.

Alisomea uanahabari kutoka Kampala University na anaogopa kushindwa maishani. Pia hauwapa ujasiri wasikilizaji wake kukabiliana na changamoto kwenye kipindi cha Tumaini Maishani kila siku ya Jumapili 5am-9am.

Total Views: 1308 ,