Rio Tutavuma yasema Shujaa

Mkufunzi mkuu wa timu ya taifa ya raga ya wachezaji 7 kila upande Benjami ayimba ametaja kikosi cha wachezaji 18 ambao wataanza mazoezi kujitayarisha kwa michuano ya olimpiki ya Rio nchini Brazil mwezi agosti mwaka huu.

Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji : Augustine Lugonzo, Collins Injera, Willy Ambaka, Andrew Amonde,Nelson Oyoo, Oscar Ayodi, Humphrey Kayange, Sammy Oliech,Frank Wanyama, Alvin Otieno, Biko Adema, Oscar Ouma, Billy Odhiambo,Jeff Oluoch, Leonard Mugaisi, Brian Tanga, Bush Mwale, Dennis Ombachi.

Aidha kikosi hiki kitapunguzwa hadi wachezaji 12 pale michano hiyo itakapokuwa inakaribia..

Total Views: 348 ,