Rais Uhuru Awaonya wagombea wa Jubilee dhidi ya kuzua vurugu

Rais Uhuru Kenyatta ameonya kuwa chama cha Jubilee hakitaruhusu kushuhudiwa kwa visa vyovyote vya ghasia wakati wa kura yake ya mchujo inayotarajiwa kufanyika kesho na juma lijalo.

Rais Uhuru amesema kuwa mgombea yeyote katika chama cha Jubilee atakayepatikana na hatia dhidi ya kuhusika kwenye vurugu wakati wa kura hiyo ataondolewa kwenye kinyang’anyiro hicho.

Mwisho

Total Views: 313 ,