Rais Uhuru akutana na viongozi wa Pwani

Rais Uhuru Kenyatta amekutana na jumla ya wabunge kumi na sita kutoka eneo la Pwani Katika ikulu ya Nairobi ambapo miongoni mwa maswala yaliyojadiliwa ni maendeleo katika kaunti za eneo hili.

Akizungumza kwa niaba ya wabunge hao baada ya kukamilika kwa mkutano huo, mbunge wa Kilifi kazkazini Gideon Mung’aro amesema kuwa ajenda kuu ya mkutano ilikuwa maendeleo ikiwemo miundo msinngi,Afya,Maji,maswala ya vijana na pia siasa.

Mwisho

Total Views: 447 ,