Rais ampongeza Wanyama kutua Spurs

Rais Uhuru Kenyatta amempongeza kiranja wa timu ya taifa Harambee stars Victor Wanyama baada yake kutia sahihi mkataba wa miaka 5 kuwajibika klabu ya Tottenham Hotspurs iliyo chini ya uongozi wake Mauricio Pochettino.

Uhuru amemtaja Wanyama kama mchezaji mwenye tajriba ya hali ya juu na kwamaba anapeperusha bendera ya Kenya katika mataifa ya magharibi.

Mkataba huo wa kima cha Euro milioni 11 utakamalika mnamo mwaka 2021

Total Views: 382 ,