Raila akutana na viongozi wa kaunti ya Taita Taveta

Kinara wa muungano wa CORD Raila Odinga amekutana na viongozi kutoka kaunti ya Taita Taveta katika ofisi yake ya Capitol Hill jijini Nairobi.

Raila amesema kuwa amekutana na viongozi hao kutoka eneo hilo ili kujadili maswala ya kisiasa kabla ya ziara yake katika kaunti hiyo inayotarajiwa kutumika katika kuwaunganisha wafuasi wa CORD katika eneo hilo.

Mwisho

Total Views: 401 ,