Picha za Mjengo wake Nicki Minaj uliovamiwa na Wezi

NICKI MINAJ nick5 NICKI MINAJ 2 NICKIMANIAJ 3

Nyumba ya Kifahari ya Rapper wa Marekani Nicki Minaj ya vamiwa na wezi nakutoweka na mali yake ambazo ilikuwa ni mavazi na vitu vya thamani ilio gharimu  dolla 175,000.

Tazama picha za nyumba hio ya kifahari katika eneo la Brevery Hills

Total Views: 983 ,