Ousmane Dembele abwaga Manyanga

Mshambulizi wa klabu cha Barcelona Ousmane dembele ameeleza kukasirishwa na hatua ya klabu hicho kumsajili mchezaji Malcom kutokea Bouderaux ambaye atashindana naye kutinga kikosi cha kwanza..

Sasa raia huyo wa ufaransa anapigia upato kuondoka klabuni humo huku vilabu vya, Spurs, Man united pamoja na Bayern Munich vikipania sahihi yake.

Total Views: 164 ,