Oluoch kushiriki 8 Bora

Kipa nambari moja tokea klabu ya Gor mahia Bonface Oluoch atakuwa anashiriki makala ya 8 bora wikendi hii huku kampuni ya kpl ikithibitisha kuwa ni mechi za ligio kuu pekee nzido alikuwa amepigwa marufuku.

Kipa huyo alipigwa marufuku mechin moja kwa kosa la kumsukuma mwamuzi katika mechi baina yao na klabu ya wanamvinyo Tuker Fc huku klabu hiyo ikikata rufaa kuhusiana na hatua hiyo.

Total Views: 361 ,