Okumbi sifa Tele kwa ushindi wa H/Stars

Mkufunzi wa timu ya taifa Harambee Stars Stanley Okumbi amepata sifa kede kede kutokana na ushindi wa kimataifa wa 1-0 dhidi ya DRC ya Congo bao lililotiwa kimyani na Michael Olunga.

Moja klati ya wale waliompa sifa kocha huyu ni bonface Ambani mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Harambee stars ambaye ametaka wakenya kumpa Okumbi fursa klutekeleza wajibu wake ipasavyo.

Total Views: 325 ,