Okumbi ataja kikosi cha stars kuvaana na Msumbiji

Harambee Stars…
Mkufunzi wa timu ya taifa ya soka harambee stars Stanley Okumbi ametaja kikosi cha wachezaji 19 watakaoshiriki mechi ya kirafiki dhidi ya Mozambique mnamo terehe 2 mwezi September mjini Maputo nchini Mozambique.
Kikosi kamili kinajumuisha…
Makipa…
Boniface Oluoch (Gor Mahia), Patrick Matasi (Posta Rangers)
Walinzi…
Benard Ochieng (Vihiga United), Harun Shakava (Gor Mahia), Musa Mohammed (Gor Mahia), Omar Mbongi (Ulinzi Stars), Simon Mbugua (Posta Rangers)
Viungo…
Ernest Wendo (Gor Mahia), Victor Majid (AFC Leopards), George Odhiambo (Gor Mahia), Jackson Macharia (Tusker), Daniel Waweru (Ulinzi Stars)

Total Views: 207 ,