Ochomo Atemwa nje ya kikosi-Muhoroni Youth

Klabu ya Muhoroni Youth imemtema kikosini kwa muda usiojulikana mshambulizi Wycliff Ochiomo kwa kile usiamamizi wa klabu hiyo unadai ukosefu wa nidhamu uliowaletea masaibu.

Haya yameelezwa na mwenyekiti wa klabu hiyo Moses Adagala ambaye amesema kurudi kwake klabuni huimo kutafanyika pale benchi la kiufundi litakapokubaliana kuhusu hatma yake.

Ifuatayo… ni Orodha ya wafungaji bora..
Wycliff Ochomo Muhoroni -12
John Makwata Ulinzi – 11
Jacquyes Tusiyenge Gormahia -8
Kepha Aswani FC Leopards – 7
Michael Khamati Tusker FC – 5
Obadiah Ndege Mathare United -5
Timothy Otieno Posta,Anthony Kimani Bandari,Erick Johanna Mathare,Baron Oketch W/stima, Allan Katerraga Ingwee- mabao 4 kila mmoja.

Total Views: 302 ,