Nyani Anaswa akijaribu Kuvunja Nyumba

Inaaminika kisayansi kuwa binadamu alimakinika kutoka kwa nyani. Basi ndio maana huenda nyani wanafanya  yale binadamu huyatenda hata mambo ya kijanja.

Basi nyani moja huko Afrika kusini amenaswa kwenye CCTV ikijaribu kuvunja na kuvamia makaazi ya mtu mmoja.

Picha za CCTV zinaonyesha nyani akijaribu kila mbinu kuvunja na hata kujaribu kuingilia kwa juu lakini akatoroka baada ya kugundua kuwa wenyewe walikuwa ndani ya nyumba.

Na majarini wake wanasema, visa vya nyani kuvunja na kuvamia makaazi na kutoroka na chakula chote kutoka jikoni vimeongezeka.

Total Views: 40 ,